Dayu de Nack profile
Dayu de Nack
7 0 10
Posts Followers Following
Dayu de Nack
Quote by Dayu de Nack - usilazimishe kuweka tabasamu usoni!
 wakati nafsi yako inalia!
_yusrahmoh - Made using Quotes Creator App, Post Maker App
0 likes 0 comments
Dayu de Nack
Quote by Dayu de Nack - shetani anakujua kwa jina lako lakini 
atakuita kwa dhambi zako
mungu anakujua kwa dhambi zako lakini
atakuita kwa jina lako
_yusrahmoh - Made using Quotes Creator App, Post Maker App
0 likes 0 comments
Dayu de Nack
Quote by Dayu de Nack - onyesha bidii ya maisha ukiwa kimya alafu yaache mafanikio yako yapige kelele
_yusrahmoh - Made using Quotes Creator App, Post Maker App
2 likes 0 comments
Dayu de Nack
Quote by Dayu de Nack - usimuache mungu wako kwaajili ya jamaa zako!

_yusrahmoh - Made using Quotes Creator App, Post Maker App
0 likes 0 comments
Dayu de Nack
Quote by Dayu de Nack - hasubuhi inamachaguo mawili
kuendelea kulala
au
kuamka kujenga maisha yako

_yusramoh - Made using Quotes Creator App, Post Maker App
0 likes 0 comments
Dayu de Nack
Quote by Dayu de Nack - kaka tafuta sana pesa!
mapenzi bila pesa! 
ni chai  na chumvi
_yusrahmoh - Made using Quotes Creator App, Post Maker App
0 likes 0 comments
Dayu de Nack
Quote by Dayu de Nack - ulimi hauna mifupa
lakini unauwezo wa kuvunja mioyo ya watu
kwahiyo chunga saana maneno ya ulimi wako
_yusrahmoh - Made using Quotes Creator App, Post Maker App
0 likes 0 comments